Skip to main content
Skip to main content

Hospitali ya SDA Nyachwa yazindua mpango wa kuboresha huduma

  • | Citizen TV
    354 views
    Duration: 2:25
    Miezi 5 baada ya mitambo ya SHA kuzimwa katika hospitali ya Kiadventista ya Nyanchwa Kaunti ya Kisii , usimamizi wa hospitali hiyo sasa umezindua mpango maalum wa kuboresha huduma za kiafya licha ya changamoto zilizowakumba hapo awali