15 Dec 2025 10:53 am | Citizen TV 414 views Duration: 2:16 Serikali ya Kaunti ya Mombasa imezindua mpango wa kutoa mafunzo kwa vijana ili kujiajiri na kukabiliana na changamoto ya usalama katika kaunti hiyo.