15 Dec 2025 10:55 am | Citizen TV 205 views Duration: 2:16 Mkurugenzi wa taasisi ya Utafiti wa Samaki na Viumbe wa Majini nchini KMFRI Dkt. Paul Orina amewataka wavuvi kudumisha usafi wakati wa uvuvi na utayarishaji wa Samaki.