- 341 viewsDuration: 5:48Tunaangazia utendakazi wa serikali mwaka huu Mambo ambayo wananchi wanatarajia mwakani Rais Ruto aliahidi kujenga Kenya kama Singapore Wakenya wengi wanalalamikia hali ngumu ya uchumi Serikali iliongeza ushuru wa mlipaji kodi mwaka huu