Skip to main content
Skip to main content

Watu 10 walifariki huku 6 wakijeruhiwa Chabera jana usiku

  • | Citizen TV
    885 views
    Duration: 1:56
    Watu 10 wamedhibitishwa kufariki huku 6 zaidi wakiuguza majeraha mabaya baada ya ajali katika eneo la Kodada kaunti ndogo ya Rachuonyo East katika kaunti ya Homa Bay. 10 hao wameripotiwa kufariki Jumapili usiku waliokuwa safarini kurudi nyumbani kutoka Kakamega walipohudhuria hafla ya harusi, kabla gari hilo kupata ajali pamoja na malori mawili katika barabara kuu ya kutoka Kisumu kwenda Kisii. Sita waliojeruhiwa walihudumiwa katika hospitali ya Rachuonyo South mjini Oyugis kabla kupelekwa katika hospitali ya rufaa ya Nyamira kwa matibabu zaidi.