Skip to main content
Skip to main content

Baraza la kitaifa kuhusu utekelezaji wa haki (NCAJ) latangaza mikakati ya kuzuia ajali

  • | Citizen TV
    356 views
    Duration: 1:38
    Baraza la kitaifa kuhusu utekelezaji wa haki (NCAJ) limetoa mapendekezo ya kudhibiti ajali za barabarani ambazo zimeongezeka msimu huu wa likizo ndefu. Akizungumza baada ya mkutano na wadau wa sekta ya uchukuzi, jaji mkuu maatha koome ametangaza mapenzekezo saba yakiwemo kuongeza vizuizi barabarani na kukomesha ufisadi barabarani. kadhalika amewataka madereva na wasafiri wote kuzingatia sheria za trafiki ili kuzuia ajali.