Skip to main content
Skip to main content

Watetezi wa wenye tawahudi wapinga mswada ulioko Seneti

  • | Citizen TV
    139 views
    Duration: 1:32
    Watetezi wa usimamizi wa ugonjwa wa tawahudi wamezua tetesi kuhusiana na mswada wa usimamizi wa ugonjwa huo ulioko bunge la seneti unaolenga kukuza mbinu muhimu jumuishi na iliyoratibiwa kudhibiti tawahudi nchini.