- 323 viewsDuration: 1:35Tamasha ya utamaduni wa jamii ya waluo PINY LUO awamu ya tano imenza rasmi katika chuo kikuu Cha Rongo kaunti ya Migori . Sherehe hiyo inatazamiwa kuwaleta pamoja wanajamii a asili ya waluo Kutoka Kenya na nchi jirani za Tanzania, Uganda ,DRC na Ethiopia lengo kuu ni kusherekea utamaduni wa waluo.