Skip to main content
Skip to main content

Wafugaji Samburu washauriwa kuwapeleka mifugo wapewe chanjo

  • | Citizen TV
    597 views
    Duration: 3:03
    Wafugaji katika kaunti ya samburu wamehimizwa kukumbatia chanjo ya mifugo ya miguu na midomo,katika zoezi la utoaji chanjo linaloendeshwa kwa ushirikiano wa serikali kuu na serikali ya kaunti hiyo.