Skip to main content
Skip to main content

Mwanamazingira Truphena Muthoni ateuliwa kuwa balozi wa upanzi wa miti

  • | Citizen TV
    3,445 views
    Duration: 1:17
    Rais William Ruto amemtunuku mwanamazingira truphena muthoni tuzo ya Head of State Commendation HSC, baada ya kuvunja rekodi ya kukumbatia mti kwa saa 72 mfululizo .