Skip to main content
Skip to main content

Mvulana wa miaka 20 apigwa risasi na maafisa wa polisi eneo la Kilindini, Tana River

  • | Citizen TV
    740 views
    Duration: 1:50
    Viongozi kutoka kaunti ya Tana River wamekashifu vikali mauaji ya kijana mmoja mwenye umri wa ishirini aliyepigwa risasi na polisi na kuwauwa papo hapo katika eneo la Kilindini. Kisa hicho kilitokea wakati kijana huyo alipojaribu kuzuia maafisa wa polisi kumkamata mwenzake ambaye alikuwa likizoni baada ya afisa huyo kumsaidia mtuhumiwa wa dhulma ya kijinsia kukwepa kukamtwa na polisi. Wakizungumza wakati wa mazishi ya marehemu, Mbunge wa Galole, Said Hiribae pamoja na Mwakilishi wa Wadi ya Kinakomba, Hamid Babusa, walitaka mamlaka huru ya kutathmini utendakazi wa polisi IPOA kuharakisha uchunguzi wao na kuhakikisha haki imetendeka.