Skip to main content
Skip to main content

Watu 10 wafariki kwenye ajali ya barabarani Kodada, wanne wa familia moja miongoni mwa waathiriwa

  • | Citizen TV
    1,372 views
    Duration: 3:02
    Watu kumi wamekuwa wa punde zaidi kufariki kwenye ajali ya barabarani eneo la Kodada, kwenye mpaka wa Nyamira na Homa Bay. Miongoni mwao ni jamaa watano wa familia moja waliokuwa kati ya kundi la wanakwaya waliokuwa wakitoka harusini kaunti ya Kakamega. Ajali hii ikifikisha idadi ya watu 18 walioangamia kwenye ajali mbili tofauti katika muda wa siku mbili zilizopita