Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa dini wapinga mswada wa kudhibiti maeneo ya ibada

  • | Citizen TV
    749 views
    Duration: 2:44
    Viongozi wa kidini kutoka sehemu mbalimbali nchini wamepinga mswada wa kudhibiti maeneo ya ibada wakisema hatua hiyo itahujumu uhuru wa kuabudu. Wakizungumza katika kaunti za Bungoma, Kisii na Embu, viongozi hao wanataka mswada uliopendekezwa kutupiliwa mbali