Skip to main content
Skip to main content

Taharuki mpakani Laikipia-Meru

  • | Citizen TV
    170 views
    Duration: 1:51
    Hofu imetanda katika eneo la NgareNdare mpakani mwa kaunti za Laikipia na Meru, wakazi wakihofia kuzuka kwa mzozo wa kijamii baada ya kile wanachosema ni uchochezi kutoka kwa kiongozi mmoja kuhusu ugavi wa mashamba