16 Dec 2025 10:24 am | Citizen TV 455 views Duration: 2:09 Familia moja katika eneo la Ngor’ngoroi, eneo bunge la Marakwet Magharibi Kaunti ya Elgeyo Marakwet, inaomboleza kifo cha mpendwa wao aliyeuawa na umeme wa mvua ulioandamana na radi.