Skip to main content
Skip to main content

Afya ya uzazi Kakamega

  • | Citizen TV
    218 views
    Duration: 47s
    Gavana wa Kakamega, Fernandes Barasa, ametangaza kuwa zahanati sasa zitaruhusiwa kutoa huduma za uzazi chini ya bima ya Afya ya Jamii, SHA. Akizungumza wakati wa mahafali ya pili ya Chuo cha Matibabu cha FAFA huko Matungu, Barasa alisema hatua hiyo itaongeza upatikanaji wa huduma muhimu za afya karibu na wananchi.