- 942 viewsDuration: 1:22Dkt. Oburu Oginga ametaka jamii ya waluo kuhakikisha kuwa inatangamana na kuhifadhi mila na tamaduni. Oburu ambaye alikuwa akizungumza wakati wa tamasah ya piny luo amesema jamii wa luo inastahili kuhifadhi mila na tamaduni kwa manufaa ya vizazi vijavyo.