- 9,866 viewsDuration: 8:38Kundi la waasi la M23 limetangaza uamuzi wa “kuondoa wanajeshi wake” kutoka mji wa Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), ambao lilidai kuudhibiti wiki iliyopita. Hatua hiyo imeelezwa kama njia ya kujenga uaminifu na kusaidia mchakato unaoendelea wa amani. #DiraYaDuniaTV