17 Dec 2025 10:27 am | Citizen TV 212 views Duration: 1:58 Tume ya madili na kupambana na ufisadi EACC imefanya vikao na wakuu wa taasisi za elimu ya juu na sekta ya umma kuhusu njia za kukabiliana na ufisadi kwenye taasisi hizo.