17 Dec 2025 10:30 am | Citizen TV 1,378 views Duration: 1:46 Serikali ya Kaunti ya Kilifi imesema imeweka mikakati ya kuhakikisha kuwa wawekezaji wanatekeleza jukumu lao la kuimarisha jamii bila mvutano wakati wanaendeleza shughuli zao.