Skip to main content
Skip to main content

Wanaopanga kuuza tiketi za chama cha UDA waonywa

  • | Citizen TV
    708 views
    Duration: 58s
    Msaidizi wa rais Farouk Kibet amewaonya watu wanaojaribu kuleta mgogoro katika chama cha UDA , kuwa watafurushwa wote kutoka chama hicho.