Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto awasuta wapinzani kwa kukosoa mpango

  • | Citizen TV
    1,389 views
    Duration: 2:48
    Rais William Ruto amewakashifu wapinzani wake wanaosema mpango wa kustawisha Kenya kufikia viwango vya mataifa tajiri zaidi duniani haiwezekani, akisema viongozi hao hawana maono. Akizungumza alipohudhuria tamasha Kaunti ya Turkana hii leo, Rais William Ruto amesema serikali itachimba na kutoa mafuta katika visima vya Turkana mwishoni mwa mwaka ujao.