Skip to main content
Skip to main content

Kina mama wajawazito Kilifi kunufaika na huduma za afya

  • | Citizen TV
    169 views
    Duration: 3:50
    Gavana wa Kilifi Gedion Mungaro ametetea mkataba mpya wa afya baina ya Kenya na Marekani akisema utafaidi serikali za kaunti na kupiga jeki juhudi za kuboresha afya nchini. Mung'aro alikuwa akizungumza huko bamba ganze kaunti ya Kilifi wakati wa uzinduzi wa zahanati ya wanawake wajawazito kwa ushirikiano na kampuni ya Safaricom kwa kima cha shilingi milioni 300