Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Busia wahimizwa kutafuta tiba ya magonjwa ya ngozi

  • | Citizen TV
    441 views
    Duration: 3:43
    Wito umetolewa kwa wananchi walio na maradhi ya ngozi katika kaunti ya Busia kutembelea vituo vya afya ili kufanyiwa ukaguzi wa kitaalam, ikibainika kuwa wanaougua maradhi hayo ikiwemo Eczema hawatafuti matibabu hospitalini ipasavyo. Imebainika kuwa mapuuza ya kutafuta matibabu ya magonjwa ya ngozi hospitalini na badala yake kutumia madawa ya kienyeji hupelekea wakaazi kuathirika zaidi ugonjwa huo unapokolea.