Skip to main content
Skip to main content

Kesi dhidi ya kambi ya Ritz-Carlton

  • | Citizen TV
    201 views
    Duration: 1:04
    Jaji Lucy Gicheru wa mahakama ya mazingira ataamua kesho iwapo kesi iliyo wasilishwa na mwanamazingira Joel Meitemei Ololdapash aliyetaka kambi ya Ritz-Carlton Masai Mara safari camp kuondolewa itaendelea au la.