Skip to main content
Skip to main content

Vijana sabini kutoka mataifa ya IGAD wakamilisha mafunzo

  • | Citizen TV
    165 views
    Duration: 1:57
    Taasisi ya mafunzo ya uongozi ya IGAD imezuindua mtandao wa viongozi wanafunzi baada ya kutoa mafunzo kwa viongozi vijana 10 kutoa mataifa wanachama wa IGAD. Mafunzo hayo yametolewa mwaka huu na yanatoa fursa muhimu kwa taasisi hiyo kutoa mafunzo kusaidia kuongeza ufahamu wa majukumu ya IGAD.