17 Dec 2025 1:17 pm | Citizen TV 203 views Duration: 1:20 Idara ya Maji, Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi katika kaunti ya Elgeyo-Marakwet imeanza kuandaa na kutekeleza kanuni maalum zilizoundwa kudhibiti maporomoko ya ardhi, matope, na majanga mengine katika siku zijazo.