17 Dec 2025 1:25 pm | Citizen TV 3,314 views Duration: 2:02 Mahakama mjini Kilgoris imetoa agizo la kukamatwa kwa aliyekuwa Naibu Kamishna wa Transmara Kusini Abdihakim Muhamud Jubat kwa kosa la kutohudhuria vikao vya mahakama licha ya kuagizwa kufanya hivyo.