- 427 viewsDuration: 3:25Serikali kuu na zile za kaunti zimekubaliana kuwalipia wahudumu wakujitolea wa afya malipo ya SHA bila na kuwakata chochote kwenye malipo yao kuanzia mwaka ujao. Kwa mujibu wa waziri wa afya Aden Duale, ngazi zote mbili za serikali zitatoa pesa nusu kwa nusu na kugharamia matibabu kamili ya wahudumu hawa wa afya wa nyanjani kwa mradi ambao utagharimu takriban shilingi milioni 9.