- 142 viewsDuration: 2:03Mamia ya familia katika baadhi ya maeneo ya Kilifi zinakabiliwa na njaa kutokana na ukame unaoendela kuathiri kaunti hiyo. Wakazi wengi walioathirika na hali hiyo wanalazimika kusafiri masafa marefu kutafuta bidhaa kama maji huku mabwawa ya maji pia yakikauka.