17 Dec 2025 1:37 pm | Citizen TV 499 views Duration: 1:41 Wakazi kutoka eneo la Makongeni kaunti ya Nairobi wanalilia fidia ya nyumba zao zilizobomolewa ili kuanzishwa kwa ujenzi wa mradi wa nyumba za bei nafuu