17 Dec 2025 1:38 pm | Citizen TV 290 views Duration: 1:18 Kina mama na wazee ambao wenye umri wa miaka zaidi ya 70 wamenufaika pakubwa kwa kupata chakula na hata pesa za kuwasaidia kusherehekea sikukuu ya krismasi kwa amani.