Skip to main content
Skip to main content

Shamrashamra za krismasi Machakos

  • | Citizen TV
    445 views
    Duration: 1:13
    Gavana wa kaunti ya Machakos, Wavinya Ndeti, aliandaa sherehe maalum ya krismasi kwa watoto katika ofisi yake, ikiwa ni sehemu ya kueneza furaha na upendo wakati wa msimu wa sikukuu.