Skip to main content
Skip to main content

Mwigulu Nchemba: ''Wasanii waliotumbuiza mikutano ya CCM, wakati wa uchaguzi mkuu walikuwa kazini'

  • | BBC Swahili
    17,937 views
    Duration: 1:06
    “Msanii anapokwenda kuimba kwenye mkutano, yupo kazini na yupo kwenye ajira yake." Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amekosoa watu wanaohamasisha kuwabagua na kuwatenga wasanii kwa kuwa walitumbuiza katika mikutano ya kisiasa ya chama tawala Tanzania CCM katika uchaguzi mkuu uliopita. - "Tunahangaika kuhakikisha vijana wanapata ajira, halafu unasema wasanii wakatae fursa ya kupata fedha? Nani kawaambia hao ni wanachama? Nani kawaambia wanaenda kuimba kwa kadi?" - Nchemba ameyasema hayo katika ziara ya eneo la mpakani la Tunduma mkoani Songwe. - - - #tanzaniatiktok #bbcswahili #ccm #foryou #uchaguzi2025 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw