18 Dec 2025 1:07 pm | Citizen TV 6,610 views Duration: 1:43 Watu wanne ambao ni mwendeshaji bodaboda pamoja na abiria wake watatu wameaga dunia baada ya kugongwa na Lori, karibu na mahakama ya Kajiado, kwenye Barabara kuu ya Namanga.