- 525 viewsDuration: 1:21Rais William Ruto amependekeza kubuniwa kwa hazina ya kufadhili elimu ya jamii ndogo ya shilingi bilioni 500. Rais ameyasema hayo kwenye kikao na wawakilishi wa jamii hizo katika ikulu ya Nairobi kwenye maadhimishao ya kimataifa ya siku ya haki za jamii ndongo.