18 Dec 2025 1:09 pm | Citizen TV 655 views Duration: 1:11 Kulingana na utafiti wa TIFA, uungwaji mkono umeongezeka hadi asilimia 44 huku wanaopinga wakipungua hadi asilimia 48. Asilimia 68 ya wakenya walipinga muungano huo katika utafiti uliofanyika mwezi Mei.