- 550 viewsDuration: 1:56Chama cha wahadhiri wa vyuo vikuu UASU tawi la Nairobi kimewaonya wasimamizi wa chuo kikuu cha nairobi dhidi ya kuruhusu uingiliaji wa nje katika kuamua nafasi za kazi za viongozi wakuu. Viongozi wa UASU wamekosoa mchakato wa kutangaza upya nafasi za makamu chansela wakisema mchakato ulioanzishwa mapema mwaka huu haukuwa umekamilishwa vizuri.