18 Dec 2025 1:16 pm | Citizen TV 428 views Duration: 2:04 Serikali ya kitaifa na viongozi wa kaunti wamekubaliana kupanga upya miradi muhimu ya kilimo inayofadhiliwa na Benki ya Dunia kwa dharura ili kukabiliana na ukame.