Skip to main content
Skip to main content

Michezo ya vijana ya Afrika

  • | Citizen TV
    419 views
    Duration: 1:17
    Timu ya wasichana ya mpira wa mikono ya ufukweni ya Kenya chini ya miaka 17 ilinyakua medali ya fedha na kuongeza idadi ya medali za timu ya Kenya hadi 17 katika michezo ya vijana ya Afrika ya mwaka wa 2025 huko Luanda, Angola.