- 10,119 viewsDuration: 2:27Jaji mkuu mstaafu David Maraga amekejeli ndoto ya rais William Ruto ya kulifikisha taifa kwenye kiwango cha uchumi cha mataifa tajiri duniani akisema mpango huo unalenga tu kuvutia udhamini. Maraga amemtaka rais kuzamia suala la kukomesha ufisadi serikalini iwapo anataka Kenya kuafikia maendeleo yanayotizamiwa.