- 2,615 viewsDuration: 2:11Uungwaji mkono wa serikali jumuishi umeongezeka maradufu kati ya mwezi Mei na Novemba. Haya ni kw amujibu wa utafiti uliofanywa na kampuni ya tifa. Utafiti huo hata hivyo unasema kuwa licha ya hayo, asilimia kubwa ya wakenya bado haiungi mkono serikali hiyo ya mseto, inayojumuisha odm. Utafiti wa tifa unasema kuwa wakenya wengi wanahisi kuwa taifa haliendi sawa