- 2,596 viewsDuration: 2:46Waziri wa hazina ya kitaifa John Mbadi sasa anasema muda utakaotumika kufikia viwango vya mataifa tajiri zaidi duniani utategemeabidii ya wakenya. Mbadi anasema kuwa muda wa miaka kumi uliotangazwa na rais William Ruto kufikia malengo hayo unawezekana. Mbadi aidha amesema serikali inalenga kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 600 kutoka kwa uuzaji na ubinafsishaji wa mashirika kadhaa ya serikali.