18 Dec 2025 7:49 pm | Citizen TV 947 views Duration: 1:30 Rais William Ruto ametangaza kuanzishwa kwa Mpango wa Kitaifa wa Ufadhili wa Masomo wa shilingi milioni mia tano kila mwaka, ili kusaidia jamii ndogo kupata elimu bora ya sekondari na elimu ya juu.