Serikali kufanyia mabadiliko vitengo vya usalama, asema naibu rais Rigathi

  • | KBC Video
    72 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua amesema serikali itafanyia mabadiliko vitengo vya usalama ili kuwalinda wakenya na mali yao. Wakati huohuo, naibu rais amewahakikishia wakazi wa Kerio Valley kwamba serikali itasuluhisha tatizo la utovu wa usalama kupitia mazungumzo na kuongezwa kwa idadi ya maofisa wa ualama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #police #rigathigachagua