- 260 viewsDuration: 3:35Misukosuko ya kiuchumi imevuruga maisha ya jamii za wafugaji katika maeneo ya mpakani mwa kenya na somalia na kuacha familia nyingi zikihangaika kukidhi mahitaji ya msingi. Shirika la msalaba mwekundu lilianzisha mpango wa kutoa msaada wa fedha kwa familia zilizoathirika zaidi Katika Kaunti Ndogo ya Diff, Kaunti ya Wajir.