Skip to main content
Skip to main content

Waziri Duale atangaza msako dhidi ya wanaowauzia vijana vileo

  • | Citizen TV
    344 views
    Duration: 55s
    Huku wakenya wakijiandaa kwa shamrashamra za Krismasi na mwaka mpya, Waziri wa afya Aden Duale amewataka wazazi kuchukua usukani wa kuwapa ushauri nasaha vijana wadogo wanaotokomea katika lindi la matumizi ya dawa za kulevya.