22 Dec 2025 1:13 pm | Citizen TV 9,611 views Duration: 2:07 Polisi wanamzuilia mwanaume wa miaka 20 anayeshukiwa kumuuwa dadake wa miaka 8 katika Kijiji cha Pimbinet Kiprotgorik wadi ya Mara Narok Magharibi.