22 Dec 2025 1:34 pm | Citizen TV 124 views Duration: 1:43 Kundi moja linalojihusisha na kuhamasisha umma kuhusu afya ya akili liliandaa matembezi ya uhamasisho kuhusu maradhi ya hisia zinazobadilikabadilika yaani Bipolar hapa Jijini Nairobi.