23 Dec 2025 1:12 pm | Citizen TV 1,780 views Duration: 2:32 Kamati ya usalama eneo la Pwani imetoa makataa ya siku 60 kwa watu wanaomiliki bunduki kinyume na sheria kuzisalimisha silaha hizo katika kituo chochote cha polisi karibu nao .